UMUHIMU WA SHANGA NAKAZI ZAKE -2


SEHEMU YA PILI
Habari zenu rafiki,dada,kaka na watu wote ambao mumekuwa mstari wa mbele katika kuisapoti FB PAGE: https://www.facebook.com/godstaronline/.
NINI KAZI YA 'SHANGA ZA KIUNONI'
KITANDANI NA NINI MAANA YA RANGI
ZAKE.
,naomba tuongelee rangi za shanga kwa
wale wanaopenda kuvaa shanga.
Najua wengi mtakuwa mnafahamu rangi na
maana zake lakini kwa wale wasiojuwa
amawanaopenda kuvaa lakini
wanajinunulia rangi yeyote huu ndo wakati
mwafaka.
Wanaume wengi wanaopenda
wanawakewao wavae shanga ili
kusisimuana tu .Je mnafahamu
zinamaanisha nini?.
...Karibu tujifunze
pamoja.
Katika swala la mahaba shanga hutumika
kusisimuana haswa pale utakapompata
mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na
unaweza kuvaa hata kumi ukitaka .
kuna siku
niliguswa sana na simulizi la rafiki yangu
juu ya shanga, hivyo nikaona boraniandike
na wengne wajue.
Hii ni sehem ndgo ya
simulizi lake.
".........Nilikutana na boyfiriend wangu
maeneo ya Shycom …tukaelekea kwenye
disko. Tulikuwa tunacheza madensi,
halafublues, ya Boyz to Men ikaanza
kupigwa.
Wenye disko walipunguza taa.
Mimi na boyfriend wangu tukakumbatiana
na kuanza kucheza Blues.
Miili yetu iligusana na akaana kunipapasa
taratibu kufuatana na beats za muziki.
Nilifurahi sana.
Akateremsha mikono yake
kwenye kiuno changu.
Alivyogusa shanga zangu akawa kama
mwili wake umekufa ganzi. Alisisimuka we!
Akanishika kwa nguvu, niligundua kuwa
ham yake ilikuwa juu....."
Naamini utakuwa umejifunza kitu fulani
muhimu kutokana na simulizi hilo.
Sasa
turudi kwenye mada yetu.
Kuna wengine wanananunua rangi kama
pink, blue, gold hizi rangi hazina maana
kwenye sita kwa sita ni urembo tu
kupendezesha kiuno.
RANGI ZENYE MAANA PINDI UWAPO
KITANDANI NA MPENZI WAKO
Nyekundu :
ukimkuta mwanamke amevaa shanga ya
rangi hii unatakiwa kuelewa kwamba
mwanamke huyu yupo kwenye hedhi,
kwahiyo wewe fanya mengine lakini sio
kutumbukia unless yeye mwenyewe
amekuruhusu na wewe uwe na uwezo wa
kutumbukia hata akiwa kwenye hedhi (kitu
ambacho kiafya akishauriwi).
Nyeupe:
ukimkuta mwanamke amevaa shanga
nyeupe hii humaanisha hana tatizo lolote
litakalomfanya asikupe raha ya sita kwa
sita, kwahiyo ukitaka tu muda wowote
unapata.
Nyeusi:
ukimkuta mwanamke amevaa rangi nyeusi
hii humaanisha ya kwamba yupo tayari
kukupa raha za sita kwa sita lakini uwanja
wake haujakatwa majani, kwa hiyo chaguo
ni lako kama unataka kutumia siku nzima
kutafuta goli haya, ama kama utamsaidia
kumkatia majani uwanjani vizuri zaidi ama
kama huwezi yote basi mpe muda akate
mwenyewe.
HADI KUFIKIA HAPA SINA LA ZIADA UTAKUWA UMEJIFUNZA KITU WEWE MWANAMKE NA WEWE MWANAUME.
DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA MUENDELEZO NA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA OFFLINE.
👉https://play.google.com/store/apps/details?id=com.godstarapp
ILA USIACHE KUCHUKUA TAHADHARI JUU YA COVID - 19 NDUGU YANGU,TUJIKINGE SANA.

Comments